#Fikra 🤝
Siku zote #SHERIA inakutaka wewe usikasirike wala kununa pindi utakapo ambiwa wewe ni MREFU, MFUPI, M_BAYA, na mfano wa sifa hizo ambazo wewe unaona ni mbaya kwa upande wako, au labda ukasirike na kununa kwa kuambiwa wewe ni kabila fulani au nasabu fulani ikisha ukakasirika, hapana hivyo si sawa (Kwasababu hayo kayataka mola wako uwe nayo, na hayapo katika milki yako), Ila SHERIA pia inakutaka wewe ukasirike kwa kuambiwa wewe ni MZINIFU, MCHOYO, MUONGO, MGOMVI, MWIZI n.k kwasababu hayo nikatika milki yako, na hata hivyo ukitaka watu waendelee kukuita hivyo nikatika maamuzi yako pia, lakini ukitaka watu wasikuite hivyo unaweza ukawabadili na wasikuite tena majina hayo..... Suali
Je unawezaje kuwabadilisha watu wasikupe sifa hizo mbaya ?
Jawabu (Niwewe kubadilika tu! Na kukaa katika mstari ambao unahisi watu watakupa sifa nzuri na majina mazuri uyapendayo) kama vile kukaa au kuishi na watu kwa WEMA n.k
#KufuataSheriaNikatikaMamboAmbayoYanakulazimuUweNayoKatikaMaishaYako
@juma_kaman ...